Hakika katika Jihadi kubwa ni kusema neno la uadilifu kwa kiongozi dhalimu

Islam > Sw > Hadith > 7 kuamrisha mema na kukataza mabaya > Hakika katika Jihadi kubwa ni kusema neno la uadilifu kwa kiongozi dhalimu

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad

Ni nzuri kwa sababu ya hadithi nyinginezo

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika katika Jihadi kubwa ni kusema neno la uadilifu k…

Maelezo ya hadith: Hakika katika Jihadi kubwa ni kusema neno la uadilifu k…

Alibainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa moja ya aina kubwa ya jihadi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na yenye manufaa makubwa ni neno la uadilifu na ukweli mbele ya mtawala au mfalme dhalimu, kwa sababu ni kuifanyia kazi sheria ya kuamrisha mema na kukataza maovu, iwe kwa maneno au maandishi au vitendo, au kitu chochote kile, ili kuleta manufaa na kuzuia maovu.

Mafunzo: Hakika katika Jihadi kubwa ni kusema neno la uadilifu k…

Makundi : 7- Kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya: · 7-fadhila na ubora wa kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya: · Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56