Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
Maelezo ya hadith: Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa mwanaume yeyote atakayevaa hariri duniani hatovaa Akhera endapo hatotubia, na hii ni adhabu kwake.
Mafunzo: Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
- Makusudio ya hariri ni hariri halisi ya asili, ama hariri ya bandia ya viwandani haihusiki hapa katika hadithi.
- Katazo la kuvaa hariri kwa wanaume.
- Katazo la kuvaa hariri linahusu kuivaa na kuitandika.
- Wanaume wanaruhusiwa kutumia hariri katika nguo ila isizidi kiwango cha vidole viwili mpaka vinne, itakayofanywa kama mchoro au urembo wa nguo.
Makundi :
Adabu za kisheria.
· Adabu za kuvaa.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah