Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa kulia, na atakapo kunywa basi na any…
Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa kulia, na atakapo kunywa basi na any…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa k…
Maelezo ya hadith: Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa k…
Anamuamrisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- muislamu ale na anywe kwa mkono wake wa kulia, na anakataza kula na kunywa kwa mkono wa kushoto; na hii ni kwa sababu Shetani anakula na anakunywa kwa kushoto.
Mafunzo: Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa k…
- Katazo la kujifananisha na Shetani kwa kula au kunywa kwa kushoto.
Makundi :
Adabu za kisheria.
· Adabu za kula na kunywa.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur