Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katika nguo zenu bora, na wavisheni kwaz…
Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katika nguo zenu bora, na wavisheni kwaz…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ibn Majah
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katik…
Maelezo ya hadith: Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katik…
Anawaelekeza Mtume rehema na amani ziwe juu yake wanaume kuvaa nguo zenye rangi nyeupe na kuwavisha maiti pia; kwani ni katika nguo bora.
Mafunzo: Vaeni katika nguo zenu nguo nyeupe, kwani hizo ni katik…
- Sunna ya kuvaa nguo nyeupe, na inafaa pia kuvaa rangi nyingine tofauti na hiyo.
- Sunna ya kuwavisha maiti nguo nyeupe.
- Amesema Shaukani: Na hadithi inaonyesha sheria ya kuvaa nguo nyeupe na kuwavisha nazo maiti pia; kwakuwa ni safi zaidi na ni nzuri zaidi, ama kuwa kwake ni nzuri hili liko wazi, na ama kuwa kwake ni safi ni kwa sababu kitu chochote hata kikwa kidogo kikidondokea juu yake huonekana, ndio maana inapendekezwa.
Makundi :
Adabu za kisheria.
· Adabu za kuvaa.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand