Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Hakika Allah humridhia mja anapokula chakula akamshukuru juu ya chakula hicho, au akanywa …
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن أنس بن مالك رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «إِنَّ اللهَ لَيَرْضَى عَنِ الْعَبْدِ أَنْ يَأْكُلَ الْأَكْلَةَ فَيَحْمَدَهُ عَلَيْهَا، أَوْ يَشْرَبَ الشَّرْبَةَ فَيَحْمَدَهُ عَلَيْهَا».
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa shukurani za mja kwa Mola wake Mlezi juu ya fadhila zake na neema zake ni miongoni mwa mambo ambayo huleta radhi za Allah; akala chakula akasema: Al-hamdulillah, na akanywa kinywaji na akasema: Al-hamdulillah.
Makundi : Adabu za kisheria. · Adabu za kula na kunywa. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.