Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi
Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa…
عن أنس بن مالك رضي الله عنه: أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كَانَ لَا يَرُدُّ الطِّيبَ.
Maelezo ya hadith: Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa…
Ilikuwa katika muongozo wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi na anayapokea; kwa sababu ni mepesi kubebeka na yana harufu nzuri.
Mafunzo: Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa…
- Inapendeza kukubali zawadi ya marashi; kwa sababu hakuna tabu kuyabeba kwake na wala hakuna masimango ikiwa mtu atayakubali.
- Ukamilifu na tabia njema za Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kwa kutokataa marashi, na kukubali zawadi ya yeyote mwenye kumzawadia.
- Himizo la kutumia marashi.
Makundi :
Adabu za kisheria.
· Adabu za Ziara kutoa salamu na kubisha Hodi.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah