Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hudaibia

Islam > Sw > Hadith > Ubora wa maswahaba radhi za mwenyezi mungu ziwe juu yao > Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hudaibia

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad na asili yake ipo katika Sahih Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hu…

Maelezo ya hadith: Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hu…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba hatoingia motoni aliyehudhuria vita vya Badri vilivyotokea katika mwaka wa pili wa Hijiria (kalenda ya kiislamu) akipigana pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, wala aliyehudhuria suluhu ya Hudaibia, na ndani yake kukiwa na uungaji mkono wa ridhaa (Baiatu ridhiwani) uliotokea katika mwaka wa sita wa Hijiria.

Mafunzo: Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hu…

Makundi : Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Vyeo vya Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Akida- Itikadi- · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Maswahaba .

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56