Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo" Wakasema: Ni ipi shirki ndogo ewe M…

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo" Wakasema: Ni ipi shirki ndogo ewe M…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo"…

Maelezo ya hadith: Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo"…

Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa jambo kubwa zaidi analoliogopea juu ya umma wake: Ni shirki ndogo nayo; ni mtu kufanya kwa ajili ya watu. Kisha akaeleza kuhusu adhabu ya wenye kujionyesha siku ya Kiyama kwa kuambiwa: Nendeni kwa wale mliokuwa mkifanya kwa ajili yao, mkatazame je wanamiliki malipo na thawabu za kukupeni kwa amali hiyo?!.

Mafunzo: Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo"…

Makundi : Akida- Itikadi- · Historia ya Mtume. · Mambo ya Mtume. · Sifa za kitabia. · Majina na Hukumu. · Huruma yake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: · Historia na Taarekh. · Ushirikina.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56