Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Nyanyua kichwa chako na sema yasikilizwe, na omba upewe, na taka utetezi utetewe
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن أنس بن مالك رضي الله عنه مرفوعاً: أخبر النبي صلى الله عليه وسلم : "أنه يأتي فيسجد لربه ويحمده [لا يبدأ بالشفاعة أولا]، ثم يقال له: "ارفع رأسك وقل يُسمع، وسَلْ تُعط، واشفع تُشفَّع".
Atakuja Mtume wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- siku ya kiyama atasujudu kwaajili ya Mwenyezi Mungu, na aombe, kisha amuidhinishe Mwenyezi Mungu katika utetezi mkubwa, na aseme Mola wake kumwambia: Omba upewe, na taka utetezi utetewe, Yaani ombi lako ni lenye kukubalika na utetezi wako ni wenye kukubalika.
Makundi : Akida- Itikadi- · Kuamini mitume · Kuamini siku ya mwisho · Mtume wetu Muhammad - Rehema na amani za Allah ziwe juu yake-