Hauondoi uchawi ila mchawi

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hauondoi uchawi ila mchawi

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ibn Abii Shaybah - Imepokelewa na Alkhatwaby

Ni nzuri

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hauondoi uchawi ila mchawi

ورُوي عن الحسن أنه قال: "لا يحل السحر إلا ساحر".

Maelezo ya hadith: Hauondoi uchawi ila mchawi

Nushra, ni kuondoa uchawi, na uwazi wa maneno ya Hassan ni kuzuia hilo moja kwa moja; kwasababu hakuna anayeweza kuuondoa uchawi isipokuwa mwenye maarifa ya uchawi, na hii inachukuliwa katika kuondoa uchawi kwa uchawi mfano wake, ambayo ni katika kazi za shetani, na aliweka wazi bin Qayyim kwa kusema: Nikuwa, kumtibu aliyerogwa kwa madawa ya halali na kusoma qur'ani ni jambo linalofaa, na kumtibu aliyerogwa kwa uchawi ni haramu.

Makundi : Akida- Itikadi- · Majina na Hukumu. · Vitenguzi vya uislamu.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56