“Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > “Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: “Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa

Maelezo ya hadith: “Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa

Mtume rehema na amani ziwe juu yake anatueleza kuwa siku bora kabisa iliyochomozewa na jua ni Ijumaa, Miongoni mwa sifa zake: Mwenyezi Mungu alimuumba Adam, amani imshukie, na ndani yake akamuingiza Peponi, na ndani yake akamtoa na akamteremsha duniani, na Kiyama hakitosimama ila siku ya Ijumaa.

Mafunzo: “Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa

Makundi : Akida- Itikadi- · Kuamini mitume · Manabii na Mitume waliotangulia - juu yao amani.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله وبحمده Gloire et louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56