Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana kwao na kufanyiana kwao upole, ni ka…

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana kwao na kufanyiana kwao upole, ni ka…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana k…

Maelezo ya hadith: Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana k…

Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa inatakiwa kuwa hali ya waislamu baadhi yao kwa baadhi katika kupendeleana kheri na kuhurumiana na kusaidizana na kuteteana, na kuudhika kwa yale madhara yanayowafika, kama mfano wa kiwiliwili kimoja, kikiugua kiungo kimoja, mwili mzima unashiriki kwa kukesha na maumivu pia.

Mafunzo: Mfano wa waumini katika kupendana kwao na kuhurumiana k…

Makundi : Akida- Itikadi- · Majina na Hukumu. · Uislamu

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56