Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi y…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmeeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa Kiyama hakitosimama mpaka mtu apite katika kaburi atamani laiti angelikuwa maiti mfano wake, na sababu ni kuihofia nafsi yake kwa kutoweka dini yake kwa kuzidiwa na batili na waovu, na kudhihiri kwa fitina na maasi na maovu.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Hali za watu wema. · Kuzitakasa Nafsi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Barzakhi (Baada ya kufa)