Mtu yeyote atakayesema kumwambia ndugu yake: Ewe kafiri, basi utampata mmoja katika ya hao…
Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Mtu yeyote atakayesema kumwambia ndugu yake: Ewe kafiri, basi utampata mmoja katika ya hao…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mtu yeyote atakayesema kumwambia ndugu yake: Ewe kafiri…
Maelezo ya hadith: Mtu yeyote atakayesema kumwambia ndugu yake: Ewe kafiri…
Amemtahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake muislamu kusema kumwambia ndugu yake muislamu: Ewe kafiri, basi atakuwa kastahiki neno kafiri mmoja wao, na ikiwa ni kweli kama alivyosema (utamthibitikia), na kama si kweli ukafiri utarejea kwa msemaji aliyesema kumwambia ndugu yake.
Mafunzo: Mtu yeyote atakayesema kumwambia ndugu yake: Ewe kafiri…
- Amekemewa muislamu kusema kumwambia ndugu yake muislamu mambo asiyokuwa nayo, kama sifa ya uovu na ukafiri.
- Tahadhari ya kusema maneno haya machafu, na kwamba msemaji wake yuko katika hatari kubwa atakaposema kumwambia ndugu yake, na lazima kuhifadhi ulimi, na muislamu asizungumze ila kwa elimu.
Makundi :
Adabu za kisheria.
· Adabu za mazungumzo na kunyamaza.
· Akida- Itikadi-
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Majina na Hukumu.
· Uislamu
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur