Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
Maelezo ya hadith: Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
Amekataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake na akatahadharisha kuapia amana, nakuwa atakayefanya hivyo si miongoni mwetu.
Mafunzo: Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
- Uharamu wa kuapa kumuapia asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, ikiwemo: Kuiapia amana, nakuwa hilo ni katika shirki ndogo.
- Amana inakusanya utiifu na ibada, na kuwekeza, na pesa tasilimu, na amana.
- Kiapo hakikubaliki ila kwa kuapa kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu au kwa jina miongoni mwa majina yake au kwa sifa katika sifa zake.
- Amesema Al-Khattwabi: Hadithi inaonekana kuwa karaha hapa ni kwa sababu aliamrisha aape kwa Allah na kwa sifa zake, na amana si katika sifa zake, bali ni amri katika amri zake, na ni faradhi katika faradhi zake, wakakatazwa hilo kwakuwa ndani yake kuna kuifanya amana kuwa sawa na majina ya Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka na sifa zake.
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Majina na Hukumu.
· Ushirikina.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad