Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki atakapoiona au kuijua
Islam > Sw > Hadith > 7 kuamrisha mema na kukataza mabaya > Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki atakapoiona au kuijua
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki…
Maelezo ya hadith: Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki…
Alihutubia Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa Maswahaba zake, na miongoni mwa mambo aliyowausia ni kuwa Muislamu isimzuie hofu na kuowaogopa watu na nguvu yao akaacha kusema haki au kuiamrisha atakapoiona au kuijua.
Mafunzo: Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki…
- Himizo la kuidhihirisha haki na kutoificha kwa kuwaogopa watu.
- Kusema haki haimaanishi ni kutokuwa na adabu katika mfumo wa kauli zake na hekima na mawaidha mazuri ndani yake.
- Uwajibu wa kuondoa uovu, na kutanguliza haki ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kuliko masilahi ya watu yanayopingana na hilo.
Makundi :
7- Kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya:
· 7- Hukumu ya kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya:
· Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand