Yakuwa aliulizwa kuhusu kisomo cha Mtume rehema na amani ziwe juu yake
Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Yakuwa aliulizwa kuhusu kisomo cha Mtume rehema na amani ziwe juu yake
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Yakuwa aliulizwa kuhusu kisomo cha Mtume rehema na aman…
Maelezo ya hadith: Yakuwa aliulizwa kuhusu kisomo cha Mtume rehema na aman…
Aliulizwa Hafswa mama wa waumini radhi za Allah ziwe juu yake: Kilikuwa vipi kisomo cha Qur'ani cha Mtume rehema na amani ziwe juu yake? Akasema: Hakika nyinyi hamkiwezi mfano wake, akaambiwa: Tueleze. Amesema Naafii: Akatusomea Abuu Mulaika kisomo alichotulizana ndani yake; ili kielezee na kikaribiane na kisomo cha Mtume rehema na amani ziwe juu yake, akasoma: "Alhamdulillaahi Rabbil Aalamiin" kisha akakata kisomo, "Al Rahmaanir Rahiim", kisha akakata kisomo, "Maaliki yaumid diin".
Mafunzo: Yakuwa aliulizwa kuhusu kisomo cha Mtume rehema na aman…
- Kumebainishwa muongozo wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika kusoma Qur'ani.
- Kufanya kwa vitendo ili kubainisha namna ya kisomo cha Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
- Sheria ya kwenda taratibu katika kuisoma Qur'ani, hilo huleta msukumo wa kuizingatia.
- Kuitilia maanani Qur'ani wema waliotangulia, na matendo ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
- Umuhimu wa kujua kanuni za kuisoma Qur'ani (Tajwidi) na elimu za Qur'ani.
Makundi :
Qur'an tukufu na Elimu zake
· Elimu ya Tajwiid.
· Visomo na Tajwiid.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah