“Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi zaidi mbele ya Mfalme wenu, na yata…

Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi zaidi mbele ya Mfalme wenu, na yata…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi…

Maelezo ya hadith: “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi…

Maswahaba walimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake:

Hivi je mnata nikuelezeni na nikufundisheni amali bora zaidi kuliko zote katika amali zenu, na yenye utukufu kuliko zote na yenye kukua zaidi na safi zaidi na takatifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu Mfalme Aliyetukuka?

na yenye nafasi ya juu zaidi katika nafasi zenu za peponi?

na ambayo ni bora zaidi kwenu kuliko kutoa sadaka ya Dhahabu na fedha?

na bora kwenu kuliko hata kukutana na makafiri vitani, mkapiga shingo zao, na wakapiga shingo zenu?

Maswahaba wakasema: Ndio tunalitaka hilo.

Akasema rehema na amani ziwe juu yake: Ni kumtaja Mwenyezi Mungu katika nyakati zote na katika mikao yote na hali zote.

Mafunzo: “Je, nisiwaambieni matendo bora zaidi kwenu, na masafi…

Makundi : Mambo yaliyo bora. · Fadhila za Adh-kaar. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
الله أكبر Allah est le plus grand

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56