Zimeteremshwa kwangu aya, hazijawahi kuonekana mfano wake katu, sura mbili za kinga

Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Zimeteremshwa kwangu aya, hazijawahi kuonekana mfano wake katu, sura mbili za kinga

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Zimeteremshwa kwangu aya, hazijawahi kuonekana mfano wa…

Maelezo ya hadith: Zimeteremshwa kwangu aya, hazijawahi kuonekana mfano wa…

Ameeleza Ukba bin Aamiri radhi za Allah ziwe juu yake yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alisema kumwambia: Usiku huu Mwenyezi Mungu kaniteremshia aya, hazijawahi kuonekana mfano wake katu -yaani katika kuomba kinga- nazo ni sura mbili za kinga: Suratu (Qul Auudhubirabbil falaq), na suratu (Qul Auudhubirabbin naas).

Mafunzo: Zimeteremshwa kwangu aya, hazijawahi kuonekana mfano wa…

Makundi : Qur'an tukufu na Elimu zake · Fadhila za Qur'an. · Fadhila za Sura na Aya.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56