Je anashindwa mmoja wenu kuchuma kila siku mema elfu moja?

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi elimu ya dua na dhikri mbali mbali > Je anashindwa mmoja wenu kuchuma kila siku mema elfu moja?

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Je anashindwa mmoja wenu kuchuma kila siku mema elfu mo…

Maelezo ya hadith: Je anashindwa mmoja wenu kuchuma kila siku mema elfu mo…

Maswahaba walimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake: Hivi hawezi mmoja wenu kupata katika kila siku mema elfu moja?! Akasema mmoja kati ya waliokaa naye: Ni vipi atapata mtu mema elfu moja kwa siku kwa wepesi? Akasema: Aseme: "Sub-haana llaah" Yaani: Ametakasika Mwenyezi Mungu, mara mia moja; basi hapo ataandikiwa mema elfu moja; kwa sababu jema moja hulipwa mara kumi mfano wake, au yatafutwa kwake makosa elfu moja.

Mafunzo: Je anashindwa mmoja wenu kuchuma kila siku mema elfu mo…

Makundi : Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali. · Faida za Kumtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
الحمد لله Louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56