Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni:…

عن جابر رضي الله عنه قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: «أَفْضَلُ الذِّكْرِ: لَا إِلَهَ إِلَّا اللهُ، وَأَفْضَلُ الدُّعَاءِ: الْحَمْدُ لِلهِ».

Maelezo ya hadith: Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni:…

Anatueleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa dhikiri bora ni: "Laa ilaaha illa llaah" Na maana yake, hakuna apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, nakuwa dua bora ni "Al-hamdulillaah"; Nayo inamaanisha kukiri kuwa mneemeshaji ni Mwenyezi Mungu -Aliyetakasika na kutukuka-, mwenye kustahiki sifa nzuri zilizokamilika.

Mafunzo: Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni:…

Makundi : Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali. · Adh-kaar zote - mbalimbali. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56