Atakayesema nimeridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola, na kuwa Uislamu ni dini, na Muhammadi kuw…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi elimu ya dua na dhikri mbali mbali > Atakayesema nimeridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola, na kuwa Uislamu ni dini, na Muhammadi kuw…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayesema nimeridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola, na kuw…
Maelezo ya hadith: Atakayesema nimeridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola, na kuw…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa atakayesema: "Nimemridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola" na Mungu na Mlezi na Mmiliki, na bwana na Mtengenezaji, "na Uislamu" kwa hukumu zake zote kwanzia amri zake na makatazo yake "kuwa Dini" mila na sheria, itikadi na utii, "na Muhammadi kuwa Mtume" na Nabii; kwa yote aliyotumwa kwayo na akatufikishia, isipokuwa itamstahikia kwake Pepo.
Mafunzo: Atakayesema nimeridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola, na kuw…
- Himizo la kusema dua hii, na kumebainishwa thawabu zinazoambatana nayo.
- Kumridhia Mwenyezi Mungu kuwa Mola, kunaambatana na mtu kutomuabudu asiyekuwa yeye Mtukufu.
- Kumridhia Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake kuwa Nabii na Mtume, kunaambatana na kumtii rehema na amani ziwe juu yake na kutii sunna zake.
- Kuridhia Uislamu kuwa dini ni kuridhia yale aliyoyachagua Mwenyezi Mungu kwa waja wake.
- Sunna ya kusema dua hii wakati wa shahada mbili baada kusikia Adhana, kama ilivyokuja katika riwaya zingine.
- Na imekuja katika hadithi nyingine sunna ya kuomba dua hii wakati wa asubuhi na jioni.
Makundi :
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
· Adh-kaar zote - mbalimbali.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand