Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Waadhini wote watakuwa na shingo ndefu zaidi kuliko watu wote siku ya Kiyama
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmeeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba waadhini wote ambao huwaita watu kuja katika swala ndio watakuwa watu wenye shingo ndefu zaidi siku ya Kiyama kwa sababu ya utukufu wa amali yao, na wingi wa kheri zao, na ukubwa wa malipo yao.
Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Akida- Itikadi- · Fiq'hi na misingi yake. · Adhana na Iqama. · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Akhera.