Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwiko vyako
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwiko vyako
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwi…
Maelezo ya hadith: Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwi…
Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake hali ya mikono miwili katika sijida ya swala, nayo ni kwa kuviweka vizuri viganja vyake katika ardhi na aviweke vidole vikiwa vimefungamanishwa kuelekea kibla, na viwe viwiko viwili -maungio ya mkono na muundi wake- viwe vimenyanyuka na viko mbali na kugusa Ardhi, na vimeachanishwa na mbavu.
Mafunzo: Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwi…
- Jambo la wajibu kwa mwenye kuswali ni kuweka viganja vyake juu ya Ardhi, na viganja viwili ni viungo katika viungo saba vya kusujudu.
- Ni sunna kunyanyua miundi ya mikono isiguse Ardhi, na machukizo ya kuilaza kama anavyolaza mnyama mkali mikono yake.
- Sheria ya kuonyesha uchangamfu na nguvu na hamu katika ibada.
- Mwenye kusali akiegemea viungo vyake vyote vya kusujudu, kila kiungo kitachukua haki yake katika ibada.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Sifa za Swala.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad