La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
Islam > Sw > Hadith > Makosa ya jinai > La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama…
Maelezo ya hadith: La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama…
Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa jambo la kwanza litakalohukumiwa baina ya watu katika dhulma zao wao kwa wao siku ya Kiyama: Itakuwa katika damu, kama kuua na kujeruhi.
Mafunzo: La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama…
- Ukubwa wa swala la damu, kwani siku zote jambo muhimu zaidi ndio hutangulizwa.
- Dhambi huwa kubwa kulingana na madhara yanayojitokeza, na kuua nafsi isiyo na hatia ni katika madhara makubwa na hakuna kubwa zaidi yake isipokuwa ukafiri na kumshirikisha Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Makundi :
Makosa ya jinai.
· Kisasi.
· Akida- Itikadi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Kuamini siku ya mwisho
· Maisha ya Akhera.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah