Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo ya…
Islam > Sw > Hadith > Vyakula na vinywaji > Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo ya…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo…
Maelezo ya hadith: Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo…
Ametahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kufuga mbwa, isipokuwa kwa haja ya kuwinda, au kulinda mifugo na mazao, na atakayemfuga pasina haja hizo zitapungua katika thawabu za matendo yake kila siku shehena mbili; ambazo ujazo wake unajulikana mbele ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Mafunzo: Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo…
- Hifai kwa muislamu kufuga mbwa, isipokuwa katika hali zilizotajwa.
- Kukatazwa kufuga mbwa; kwa sababu ya hasara na madhara mengi yanayopatikana ndani yake, kwani imethibiti kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa Malaika hawaingii nyumba ambayo kuna mbwa ndani yake; na ni kwa sababu mbwa ananajisi nzito ambayo hakuna kinachoweza kuiondosha isipokuwa kurudiarudia kuosha kwa maji na udongo.
Makundi :
Vyakula na vinywaji.
· Uwindaji
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad