Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kij…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAnaeleza Anasi bin Maliki radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake ya kwamba alikuwa yeye pamoja na mtumishi mwenye kukaribiana naye katika umri wake, wakimfuata Mtume rehema na amani ziwe juu yake pindi anapotoka kwenda kikidhi haja yake, walikuwa wakibeba fimbo yenye meno (mkongojo) mfano wa meno ya mshale ili aifanye kuwa sitara ya kutundukia kitu chenye kusitiri, au sitara kwa ajili ya swala yake, na walikuwa wakibeba pia chombo kidogo cha ngozi kilichojaa maji , anapomaliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kukidhi haja yake, basi mmoja wao anampa chombo, basi anastanji kwa maji.
Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Twahara - usafi- · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Historia ya Mtume. · Watumishi wake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake: · Fiq'hi na misingi yake. · Mambo ya Mtume. · Kuondoa Najisi. · Adabu za Kukidhi Haja. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Muongozo wa Mtume. · Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika kujitwaharisha. · Historia na Taarekh.