Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahidi) kwa dhati, basi atamfikisha dara…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahidi) kwa dhati, basi atamfikisha dara…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahid…
Maelezo ya hadith: Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahid…
Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa atakayeomba shahada na kuuawa kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na akawa mkweli na mwenye ikhlasi katika nia yake hiyo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, basi Mwenyezi Mungu atamjaalia kupata daraja za mashahidi kwa nia yake ya kweli, hata akifa kitandani katika hali isiyokuwa jihadi.
Mafunzo: Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahid…
- Nia ya dhati na kufanya linalowezekana ni sababu ya kupata thawabu na malipo yaliyokusudiwa, hata kama amali inayotakiwa haijatekelezwa.
- Himizo la jihadi na kuomba shahada katika njia ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.
- Ukarimu wa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa umma huu, kwani anaupa kupitia amali ndogo daraja za juu zaidi peponi.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Jihadi.
· Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Matendo ya moyoni.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Fadhila za Jihadi.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur