Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa katazo hilo

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa katazo hilo

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa kat…

Maelezo ya hadith: Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa kat…

Anaeleza Ummu Atwiya Muanswari (mzaliwa wa Madina) radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake aliwakataza wanawake kusindikiza jeneza; na hii ni kwa sababu ya mitihani inayohofiwa juu yao, na uchache wa subira yao, kisha akaeleza radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake kuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake hakutilia mkazo katika katazo hili kama anavyofanya katika matakazo mengine.

Mafunzo: Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa kat…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Msingi wa Fiq'hi. · Majeneza. · Dalili za kimatamshi na namna ya kudadavua. · Fiq'hi na misingi yake. · Kutembelea Makaburi.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56