Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku ya Kiyama, basi amtatulie shida mw…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa miamala > Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku ya Kiyama, basi amtatulie shida mw…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku…

Maelezo ya hadith: Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku…

Abuu Qatada Al-Answari radhi za Allah ziwe juu yake alikuwa akimtafuta mdaiwa wake aliyekuwa akijificha, akampata, mdaiwa akasema: Mimi nina hali ngumu, na sina mali ya kulipa deni lako.

Abuu Qatada radhi za Allah ziwe juu yake akamtaka aape kwa jina la Mwenyezi Mungu kuwa hana mali?

Akaapa kwa jina la Mwenyezi Mungu kuwa ni mkweli katika hayo anayoyasema.

Akasema Abuu Qatada radhi za Allah ziwe juu yake kuwa yeye alimsikia Mtume rehema na amani ziwe juu yake akisema:

Atakayependezwa na akafurahishwa kuwa Mwenyezi Mungu amuokoe na misukosuko ya siku ya Kiyama na matatizo yake na vitisho vyake, basi amtatulie shida mwenye hali ngumu, kwa kumpa muda mrefu na acheleweshe kumdai deni lake, au apunguze sehemu ya deni au amsamehe deni lote.

Mafunzo: Atakayependa Mwenyezi Mungu amuokoe na Matatizo ya siku…

Makundi : Fiq'hi - Ufahamu- wa miamala. · Kukopesha. · Fiq'hi na misingi yake.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56