Ewe Abuu Dhari utakapopika mchuzi basi zidisha maji yake, na umkumbuke jirani yako
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa miamala > Ewe Abuu Dhari utakapopika mchuzi basi zidisha maji yake, na umkumbuke jirani yako
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Ewe Abuu Dhari utakapopika mchuzi basi zidisha maji yak…
Maelezo ya hadith: Ewe Abuu Dhari utakapopika mchuzi basi zidisha maji yak…
Alimhimiza Mtume rehema na amani ziwe juu yake Abuu Dhari Al-Ghifaari radhi za Allah ziwe juu yake atakapopika mchuzi basi azidishe maji yake na mchuzi wake, na amkumbuke na amtafute jirani yake.
Mafunzo: Ewe Abuu Dhari utakapopika mchuzi basi zidisha maji yak…
- Himizo la kuwa na mahusiano mazuri na jirani.
- Sunna ya kupeana zawadi kati ya majirani wawili; kwa sababu hilo linaleta mapenzi na mahaba, na kunakuwa na mkazo zaidi kupeana zawadi huku pindi chakula kinapokuwa na harufu nzuri, na ikajulikana hali ya jirani.
- Himizo la kutenda wema na kila kinachowezekana hata kikiwa kidogo, na kuingiza furaha kwa waislamu.
Makundi :
Fiq'hi - Ufahamu- wa miamala.
· Suluhisho na hukumu za ujirani.
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand