Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha)
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha)
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha ki…
Maelezo ya hadith: Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha ki…
Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa sala haikubaliki isipokuwa kwa kusoma suratul Fatiha, nayo ni nguzo miongoni mwa nguzo za swala, katika kila rakaa.
Mafunzo: Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha ki…
- Haikubaliki kusoma sura isiyokuwa suratul Fatiha ikiwa ana uwezo wa kuisoma.
- Kuharibika kwa rakaa ambayo haikusomwa ndani yake suratul fatiha, kwa mwenye kufanya kusudi na mjinga na aliyesahau; kwa sababu ni nguzo, na nguzo huwa hazidondoki kwa hali yoyote ile.
- Kisoma cha Suratul Fatiha kinaondoka kwa maamuma anapomkuta imam karukuu.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Nguzo za swala
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand