Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa naAbu Daud na Nasai katika Sunan Alkubra na Ahmad
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumb…
Maelezo ya hadith: Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumb…
Anamtahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume kumuingilia mkewe katika utupu wake wa nyuma; kuwa amelaaniwa na amefukuzwa kutoka katika rehema ya Mwenyezi Mungu, nalo ni dhambi katika madhambi makubwa.
Mafunzo: Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumb…
- Uharamu wa kuwaingilia nyuma wanawake.
- Kustarehe na mke sehemu yoyote katika mwili wake isiyokuwa nyuma inafaa.
- Muislamu anamuingilia mwanamke katika tupu yake ya mbele kama alivyomuamrisha Mwenyezi Mungu; na ama kwa nyuma kuna kuharibu maumbile, na kupoteza kizazi, na kwenda kinyume na asili salama ya viumbe hai, na kuna madhara makubwa kati ya wanandoa.
Makundi :
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Ndoa.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Adabu za Ndoa.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah