Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- a…

عَنْ ‌عَبْدِ اللهِ بْنِ زَيْدٍ رضي الله عنه: أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ تَوَضَّأَ مَرَّتَيْنِ مَرَّتَيْنِ.

Maelezo ya hadith: Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- a…

Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- katika baadhi ya nyakati zake anapotawadha anaosha kila kiungo katika viungo vya udhu mara mbili, anaosha uso ikiwemo kusukutua na kupandisha maji puani na mikono miwili na miguu miwili mara mbili.

Mafunzo: Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- a…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Twahara - usafi- · Fiq'hi na misingi yake. · Udhu - kutawadha. · Sunna na Adabu za Kutawadha · Sifa za Kutawadha.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56