Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini waki…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini waki…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misi…

Maelezo ya hadith: Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misi…

Amemkataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake msimamizi wa mwanamke na muhusika wake kuwakataza wanawake kwenda Msikitini, na akawaamrisha wanawake wakati wa kutoka kwenda Msikitini watoke bila kujipuliza manukato na wasitoke kwa kujiachia kwa mapambo; ili wasiwe sababu ya fitina kwa wanaume.

Mafunzo: Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misi…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Sala. · Mavazi na Mapambo. · Hukumu za wanawake. · Fiq'hi na misingi yake. · Jurisprudence for Muslim Women · Hukumu za Misikiti.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56