Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia…
Hadith imesimuliwa na: Imepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah
Hassani kwa mkusanyiko wa njia zake
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefari…
Maelezo ya hadith: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefari…
Alifariki mama Sa'di bin Ubada radhi za Allah ziwe juu yake, akamuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni aina ipi bora ya sadaka ili aitoe kwa niaba ya mama yake? Akamueleza rehema na amani ziwe juu yake: Kuwa sadaka bora ni maji, akachimba kisima na akakifanya kuwa sadaka kwa ajili ya mama yake.
Mafunzo: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefari…
- Kumeelezwa kuwa maji ndio sadaka bora zaidi.
- Alimuelekeza Mtume rehema na amani ziwe juu yake Sa'di katika sadaka ya maji; kwa sababu ndio inamanufaa mapana katika mambo ya dini na dunia, na kwa sababu ya joto kali na haja ya watu na uchache wa maji.
- Hii ni dalili kuwa malipo ya sadaka yanawafikia maiti.
- Wema wa Sa'di bin Ubada kwa mama yake radhi za Allah ziwe juu yao.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Fiq'hi - Ufahamu- wa miamala.
· Zaka.
· Wakfu.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Sadaka za kujitolea.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur