Hakika majina yenu yanayopendeza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni Abdullah na Abdul-Rahman
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Hakika majina yenu yanayopendeza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni Abdullah na Abdul-Rahman
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika majina yenu yanayopendeza zaidi kwa Mwenyezi Mun…
Maelezo ya hadith: Hakika majina yenu yanayopendeza zaidi kwa Mwenyezi Mun…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba majina yanayopendeza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni kumuita mtoto wa kiume: Abdullah, au Abdul-Rahman (Mja wa Allah au Mja wa Rahman).
Mafunzo: Hakika majina yenu yanayopendeza zaidi kwa Mwenyezi Mun…
- Amesema Al-Qurtubi: Yanaunganishwa na majina haya mawili yote yanayokuwa mfano wake kama Abdul-Rahiim, na Abdul-Maliki na Abdul-Swamad, na yamekuwa pendwa kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanaambatana na wasifu wa wajibu kwa Mwenyezi Mungu na wasifu kwa mwanadamu na ni wajibu kwake ambao ni utumwa, kisha mja akaambatanishwa kwa Mola Mlezi kuambatanishwa halisi, yakasadikisha majina haya, na yakapata utukufu kwa kuunganishwa huku, na yakapata fadhila hii, na wamesema wengineo: Hekima ya kufupisha kwa majina mawili ni kuwa haikuwahi kutokea kuambatanishwa ndani ya Qur'ani utumwa na Mwenyezi Mungu isipokuwa majina haya mawili, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Na kwamba pindi aliposimama mja wa Mwenyezi Mungu akimuomba" na akasema katika aya nyingine: "Na waja wa Al-Rahman (Mwingi wa rehema) na inaungwa mkono na kauli yake Mtukufu: "Sema muombeni Allah au muombeni Al-Rahmaan".
Makundi :
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Hukumu za mwenye kuzaliwa- mchanga
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah