Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani hajui, huenda Shetani akaipokonya kutok…
Islam > Sw > Hadith > Makosa ya jinai > Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani hajui, huenda Shetani akaipokonya kutok…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani haju…
Maelezo ya hadith: Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani haju…
Ametahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake muislamu kuashiria juu ya ndugu yake muislamu kwa silaha, kwa aina yoyote ile miongoni mwa aina za silaha, kwa sababu yeye hajui huenda Shetani akamsukuma kuitikisa silaha mkononi mwake, akamuuwa ndugu yake au akamuudhi, akatumbukia katika maasi yanayoweza kumpelekea kuingia katika shimo la moto.
Mafunzo: Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani haju…
- Kumebainishwa uharamu wa damu muislamu.
- Ulazima wa kumheshimu muislamu na tahadhari ya kumfikishia shari kwake kwa kitendo au kauli, ikiwemo kumuashiria kwa chuma au silaha, hata kama ni kwa mzaha; kwa sababu Shetani anaweza kuutelezesha mkono wake na akampendezeshea kumpiga ndugu yake, au akaipokonya silaha kutoka mkononi mwake ikatua pasina maamuzi yake ikamdhuru ndugu yake.
- Kuziba njia zinazopelekea katika jambo kwa kukataza yanayopelekea katika haramu.
- Pupa ya kuhakikisha usalama wa jamii na kuhifadhi mahusiano baina ya watu, na kutowatisha na kuwaogopesha hata kama ni kwa ishara na kutishia.
Makundi :
Makosa ya jinai.
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah