(Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikono yenu ya kuume

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > (Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikono yenu ya kuume

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: (Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikon…

Maelezo ya hadith: (Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikon…

Ulikuwa usia mwingi wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa Umma wake naye akiwa katika ulevi wa kifo: Shikamaneni na swala na mdumu nayo na wala msighafilike nayo, na vile vile timizeni haki za wale wanaomilikiwa na mikono yenu ya kuume miongoni mwa watumwa na wajakazi na wamilikini kwa wema, akaendelea kuukariri, mpaka ukaanza kumkwama katika koo lake, na ulimi wake ukashindwa kuutamka kwa ufasaha.

Mafunzo: (Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikon…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Historia ya Mtume. · Fiq'hi na misingi yake. · Kufa kwake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake: · Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha. · Historia na Taarekh.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56