Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
Maelezo ya hadith: Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
Mtume rehema na amani ziwe juu yake alitaja sadaka, na kujizuia kuombaomba, aliyasema hayo wakati akihutubia katika Mimbari; kisha akasema: Mkono wa juu wenye kutoa sadaka ni bora na unapendeka zaidi kwa Mwenyezi Mungu kuliko mkono wa chini wenye kuomba.
Mafunzo: Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
- Hapa kuna fadhila za ukarimu na utoaji katika njia za kheri, na ubaya wa kuombaomba.
- Hapa kuna himizo la kujizuia kuomba, na kuwaepuka watu, na himizo la kufanya mambo matukufu, na kuacha yenye udhalili, na Mwenyezi Mungu anapenda mambo ya juu zaidi.
- Mikono ina aina nne katika ubora, kama ifuatavyo: Wa juu zaidi ni ule unaotoa, kisha unaojizuia kuchukua, kisha unaopokea pasina kuomba, kisha unafuata wa chini kuliko hiyo, ule unaoomba.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Zaka.
· Matumizi.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Sadaka za kujitolea.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah