Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa n…

عَنْ عَائِشَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «الرَّضَاعَةُ تُحَرِّمُ مَا تُحَرِّمُ الوِلَادَةُ».

Maelezo ya hadith: Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa n…

Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa inakuwa haramu kwa kunyonya sawa na uharamu wa kuzaliwa na wa nasaba kama mjomba au baba mdogo au kaka n.k. na kunyonya kuna halalisha yale yanayohalalishwa na kuzaliwa miongoni mwa hukumu.

Mafunzo: Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa n…

Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Kunyonyesha. · Fiq'hi na misingi yake.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56