Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن عبد الله بن عمرو رضي الله عنهما أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: «الدُّنْيَا مَتَاعٌ، وَخَيْرُ مَتَاعِ الدُّنْيَا الْمَرْأَةُ الصَّالِحَةُ».
Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa Dunia na vyote vilivyomo si kingine isipokuwa ni kitu cha kustarehe nacho kwa muda mchache kisha kinaondoka, nakuwa starehe yake bora ni mke mwema, ambaye akimtazama anamfurahisha, na akimuamrisha anamtii, na akiwa mbali naye humuhifadhi ndani ya nafsi yake na mali yake.
Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Hukumu za wanawake. · Fiq'hi na misingi yake.