Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni motoni
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni motoni
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni…
Maelezo ya hadith: Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni…
Ametahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kushusha chini zaidi ya miguu kila kinachositiri kuanzia chini ya mwili wake kama nguo au suruali au kinginecho, na kinachokuwa zaidi ya kongo mbili katika miguu miongoni mwa kikoi kinachoburuza basi hicho ni motoni ikiwa ni adhabu kwake kwa kitendo hicho.
Mafunzo: Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni…
- Katazo la kurefusha nguo mpaka chini ya kongo mbili kwa wanaume, nakwamba hilo ni katika madhambi makubwa.
- Amesema bin Hajari: Na kinaondolewa katika kuburuza kikoi moja kwa moja kila alichokiburuza kwa dharura; kama atakayekuwa na jeraha katika kongo mbili zake kwa mfano ikiwa nzi watamuudhi kama hatulifunika kwa kikoi chake, kwa kutopata kitu kingine cha kufunika.
- Hukumu hii ni maalumu kwa wanaume; kwa sababu wanawake wameamrishwa washushe nguo zao chini ya kongo mibili kiasi cha dhiraa moja (inchi 18).
Makundi :
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Mavazi na Mapambo.
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah