Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa anapotoka kukidhi haja anasema: "Ghuf…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa anapotoka kukidhi haja anasema: "Ghuf…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa an…
Maelezo ya hadith: Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa an…
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapotoka kukidhi haja yake msalani anasema: " Ninakuomba (Msamaha) Ewe Mwenyezi Mungu.
Mafunzo: Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa an…
- Ni sunna kusema: "Ghufraanaka" baada ya kutoka mahala pa kukidhi haja.
- Mtume rehema na amani ziwe juu yake kumtaka msamaha Mola wake katika hali zake zote.
- Inasemekana katika sababu ya kuomba msamaha baada ya kukidhi haja ni kwa sababu ya uzembe wa kushukuru neema nyingi za Mwenyezi Mungu, ikiwemo kurahisishiwa kutoka kile kinachokuudhi, na ninaomba msamaha wako kwa kushughulishwa na kukidhi haja nikaacha kukutaja.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Twahara - usafi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Adabu za Kukidhi Haja.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah