Niliswali pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, alikuwa akitoa salaam kuliani kwa…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Niliswali pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, alikuwa akitoa salaam kuliani kwa…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Niliswali pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake…
Maelezo ya hadith: Niliswali pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake…
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapotaka kumaliza swala yake anatoa salaam kuliani kwake na kushotoni kwake kwa kugeuka kwa uso wake upande wa kulia, pamoja na kusema: "Assalaam alaikum warahmatullaahi wabarakaatuh", na anatoa salaam kushotoni kwake, kwa kugeuza uso wake upande wa kushoto, pamoja na kusema: "Assalaam alaiku warahmatullah".
Mafunzo: Niliswali pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake…
- Sheria ya kutoa salaam mbili ndani ya swala, nakuwa salam hizo ni katika nguzo zake.
- Inapendeza kuleta ziada ya kauli "wabarakaatuh", katika baadhi ya nyakati; kwa sababu Mtume rehema na amani ziwe juu yake hakuwa anadumu nayo.
- Kutamka salaam mbili ndani ya swala ni nguzo ya wajibu, na ama kitendo cha kugeuka wakati wa kuzitamka ni sunna.
- Inatakiwa iwe kauli ya: "Assalaam alaikum warahmatullaah" wakati wa kitendo cha kugeuka na si kabla yake wala baada yake.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Sifa za Swala.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah