Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko katika hali fulani, basi na afanye…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko katika hali fulani, basi na afanye…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko…
عن علي بن أبي طالب، ومعاذ بن جبل رضي الله عنهما مرفوعًا: «إذا أتى أحدُكم الصلاةَ والإمامُ على حال، فلْيصنعْ كما يصنع الإمامُ».
Maelezo ya hadith: Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko…
Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko katika hali fulani, ima ya kusimama au kurukuu au kusujudu au kukaa, basi aendane na imamu pale alipo katika kusimama au kurukuu au kitendo kinginecho, na asisubiri mpaka anyanyuke imamu kama wanavyofanya baadhi ya watu.
Mafunzo: Atakapokuja mmoja wenu katika swala na imamu akawa yuko…
- Sheria ya kuingia mwenye kuungana pamoja na imamu katika kipengele chochote miongoni mwa vipengele vya swala atakachokikuta, bila kutofautisha kati ya rukuu na sijida na kukaa.
- Nikuwa kuipata rakaa ambayo ameungana na imamu kunakuwa kwa kuikuta rukuu yake, kama zilivyoonyesha juu ya hilo dalili zingine.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Hukumu ya Imamu na Maamuma.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah