Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona…

Islam > Sw > Hadith > Ubora wa maswahaba radhi za mwenyezi mungu ziwe juu yao > Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala ha…

Maelezo ya hadith: Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala ha…

Alikuja kiongozi wa waumini Omari bin Khattwab radhi za Allah ziwe juu yake katika jiwe jeusi katika kona ya Kaaba akalibusu, kisha akasema: Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama mimi nisingelimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akikubusu basi nisingekubusu.

Mafunzo: Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala ha…

Makundi : Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Hijja na Umra. · Akida- Itikadi- · Fiq'hi na misingi yake. · Hukumu na Mambo ya Hijjah na Umra. · Maswahaba .

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
الحمد لله Louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56