Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na…
Maelezo ya hadith: Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na…
Anasisitiza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa atakayetaka kuja kwa ajili ya swala ya Ijumaa basi inapendeza kwake kuoga, mfano wa kuoga kwake josho la janaba.
Mafunzo: Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na…
- Mkazo wa kuoga kwa ajili ya Ijumaa, nakuwa hilo ni sunna kwa muumini siku ya Ijumaa na ikiwa wakati anataka kwenda kuswali ndio bora zaidi.
- Kutilia manani swala la usafi na harufu nzuri ni katika tabia njema za muislamu na adabu zake, na amri inakuwa na mkazo zaidi wakati wa kukutana na watu na kukaa nao, hasa hasa katika mikusanyiko na swala za jamaa.
- Tamko katika hadithi linamuhusu mwenye uwajibu wa kuswali Ijumaa; kwa sababu yeye ndiye anayekwenda kuswali.
- Ni lazima kwa mwenye kwenda katika swala ya Ijumaa awe msafi, aoge ili harufu iondoke katika mwili wake na ajitie manukato, na ikiwa atatawadha pekee pia itatosha.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Twahara - usafi-
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Kuoga.
· Swala ya Ijumaa
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah