Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia…

Hadith imesimuliwa na: Imepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah

Hassani kwa mkusanyiko wa njia zake

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefari…

Maelezo ya hadith: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefari…

Alifariki mama Sa'di bin Ubada radhi za Allah ziwe juu yake, akamuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni aina ipi bora ya sadaka ili aitoe kwa niaba ya mama yake? Akamueleza rehema na amani ziwe juu yake: Kuwa sadaka bora ni maji, akachimba kisima na akakifanya kuwa sadaka kwa ajili ya mama yake.

Mafunzo: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefari…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Fiq'hi - Ufahamu- wa miamala. · Zaka. · Wakfu. · Fiq'hi na misingi yake. · Sadaka za kujitolea.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56