Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna mapungufu basi yawe katika safu ya …
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna mapungufu basi yawe katika safu ya …
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Nasai
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna…
Maelezo ya hadith: Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna…
Amewaamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wanaume wenye kuswali kwa pamoja kukamilisha safu ya kwanza, kisha kukamilisha safu inayofuata, na kuendelea, na yakipatikana mapungufu katika safu basi yawe mapungufu haya katika safu ya mwisho.
Mafunzo: Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna…
- Kumebainishwa sunna katika kulinganisha sawa safu.
- Kwa wenye kuswali basi wasiache mapungufu katika safu ya mbele, bali yawe mapungufu katika safu ya nyuma.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Ubora wa Swala ya Jamaa na Hukumu zake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah